# Sentensi unganishi Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli. # Kwa sababu ya yote haya kwa sababu watu hawakuitii na Bwana alikuwa amewaadhibu # Kwenye hati iliyofungwa ni majina Msomaji anapaswa kuelewa kwamba wanaume waliandika majina yao kwenye hati kabla ya kufungwa