sw_tn/neh/09/25.md

20 lines
359 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# Wao waliteka
Waisraeli wakati wa Musa waliteka
# nchi yenye ustawi
"ardhi yenye rutuba"
# birika zilizochimbwa
mashimo katika ardhi ambapo watu kuhifadhi maji
# wakatosheka
Hii inaweza kuwa mfano kwa "kuacha kufikiri kuhusu Bwana "au" wakawa hasira"