sw_tn/neh/09/25.md

359 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

Wao waliteka

Waisraeli wakati wa Musa waliteka

nchi yenye ustawi

"ardhi yenye rutuba"

birika zilizochimbwa

mashimo katika ardhi ambapo watu kuhifadhi maji

wakatosheka

Hii inaweza kuwa mfano kwa "kuacha kufikiri kuhusu Bwana "au" wakawa hasira"