# Sentensi unganishi Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli. # Wao waliteka Waisraeli wakati wa Musa waliteka # nchi yenye ustawi "ardhi yenye rutuba" # birika zilizochimbwa mashimo katika ardhi ambapo watu kuhifadhi maji # wakatosheka Hii inaweza kuwa mfano kwa "kuacha kufikiri kuhusu Bwana "au" wakawa hasira"