sw_tn/neh/09/22.md

384 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

Uliwapa falme

Bwana akawapa Waisraeli falme .

Uliwapa falme na watu

"aliwawezesha kushinda falme na watu"

ukawapa kila kona ya nchi

"kuwawezesha kumiliki kila sehemu ya ardhi"

Sihoni .....Ogu

Haya ni majina ya wafalme.

Heshboni....Bashani

Haya ni majina ya maeneo.