sw_tn/neh/09/22.md

24 lines
384 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# Uliwapa falme
Bwana akawapa Waisraeli falme .
# Uliwapa falme na watu
"aliwawezesha kushinda falme na watu"
# ukawapa kila kona ya nchi
"kuwawezesha kumiliki kila sehemu ya ardhi"
# Sihoni .....Ogu
Haya ni majina ya wafalme.
# Heshboni....Bashani
Haya ni majina ya maeneo.