# Sentensi unganishi Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli. # Uliwapa falme Bwana akawapa Waisraeli falme . # Uliwapa falme na watu "aliwawezesha kushinda falme na watu" # ukawapa kila kona ya nchi "kuwawezesha kumiliki kila sehemu ya ardhi" # Sihoni .....Ogu Haya ni majina ya wafalme. # Heshboni....Bashani Haya ni majina ya maeneo.