sw_tn/neh/09/14.md

8 lines
190 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# amri..... maagizo...... sheria
Kila moja ya maneno haya matatu yanahusu sheria ya Musa.