sw_tn/neh/09/14.md

190 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

amri..... maagizo...... sheria

Kila moja ya maneno haya matatu yanahusu sheria ya Musa.