# Sentensi unganishi Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli. # amri..... maagizo...... sheria Kila moja ya maneno haya matatu yanahusu sheria ya Musa.