sw_tn/neh/09/09.md

818 B

Sentensi Unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

Uliona

Bwana aliona

umesikia kilio chao

Maelezo ya taarifa ni kwamba Mungu alisogeza hatua kwa sababu kilio cha Waisraeli wakiomba msaada.

ishara na maajabu juu ya Farao

Vifo vilijaribu moyo wa Farao, na wakawa mashahidi dhidi ya ugumu wa moyo wake . AT "ishara na maajabu yaliyothibitisha dhidi ya Farao" au "ishara na maajabu yaliyomhukumu Farao"

watu wote wa nchi yake

"Wamisri wote"

walifanya kwa kujivunia dhidi yao

"walikuwa wenye kiburi juu ya Waisraeli "au" aliwadhulumu wateule wa Mungu

ulijifanyia jina kwa ajiri yako mwenyewe

Hii ni njia nyingine ya kusema "ulionyesha dunia tabia yako" au "ulionyesha uwezo wako."

ambalo linasimama hadi siku leo.

"ambalo watu bado wanalikumbuka"