# Sentensi Unganishi Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli. # Uliona Bwana aliona # umesikia kilio chao Maelezo ya taarifa ni kwamba Mungu alisogeza hatua kwa sababu kilio cha Waisraeli wakiomba msaada. # ishara na maajabu juu ya Farao Vifo vilijaribu moyo wa Farao, na wakawa mashahidi dhidi ya ugumu wa moyo wake . AT "ishara na maajabu yaliyothibitisha dhidi ya Farao" au "ishara na maajabu yaliyomhukumu Farao" # watu wote wa nchi yake "Wamisri wote" # walifanya kwa kujivunia dhidi yao "walikuwa wenye kiburi juu ya Waisraeli "au" aliwadhulumu wateule wa Mungu # ulijifanyia jina kwa ajiri yako mwenyewe Hii ni njia nyingine ya kusema "ulionyesha dunia tabia yako" au "ulionyesha uwezo wako." # ambalo linasimama hadi siku leo. "ambalo watu bado wanalikumbuka"