sw_tn/neh/09/09.md

32 lines
818 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# Uliona
Bwana aliona
# umesikia kilio chao
Maelezo ya taarifa ni kwamba Mungu alisogeza hatua kwa sababu kilio cha Waisraeli wakiomba msaada.
# ishara na maajabu juu ya Farao
Vifo vilijaribu moyo wa Farao, na wakawa mashahidi dhidi ya ugumu wa moyo wake . AT "ishara na maajabu yaliyothibitisha dhidi ya Farao" au "ishara na maajabu yaliyomhukumu Farao"
# watu wote wa nchi yake
"Wamisri wote"
# walifanya kwa kujivunia dhidi yao
"walikuwa wenye kiburi juu ya Waisraeli "au" aliwadhulumu wateule wa Mungu
# ulijifanyia jina kwa ajiri yako mwenyewe
Hii ni njia nyingine ya kusema "ulionyesha dunia tabia yako" au "ulionyesha uwezo wako."
# ambalo linasimama hadi siku leo.
"ambalo watu bado wanalikumbuka"