sw_tn/neh/09/03.md

20 lines
389 B
Markdown

# Wakasimama
Waisraeli wote wakasimama
# walikuwa wakikiri
"walikuwa wanakubali mambo mabaya waliyofanya"
# na kuinama mbele
"kuabudu" au " kumsifu"
# Walawi, Yeshua, Bani....walisimama juu ya ngazi
Matoleo mengine yanatafsiri, "Yeshua, Bani ... alisimama juu ya ngazi zilizojengwa kwa Walawi"
# Yeshua, Bani, Kadmieli, Shebaniya, Buni, Sherebia, Bani na Kenani
majina ya wanaume