# Wakasimama Waisraeli wote wakasimama # walikuwa wakikiri "walikuwa wanakubali mambo mabaya waliyofanya" # na kuinama mbele "kuabudu" au " kumsifu" # Walawi, Yeshua, Bani....walisimama juu ya ngazi Matoleo mengine yanatafsiri, "Yeshua, Bani ... alisimama juu ya ngazi zilizojengwa kwa Walawi" # Yeshua, Bani, Kadmieli, Shebaniya, Buni, Sherebia, Bani na Kenani majina ya wanaume