sw_tn/neh/09/03.md

389 B

Wakasimama

Waisraeli wote wakasimama

walikuwa wakikiri

"walikuwa wanakubali mambo mabaya waliyofanya"

na kuinama mbele

"kuabudu" au " kumsifu"

Walawi, Yeshua, Bani....walisimama juu ya ngazi

Matoleo mengine yanatafsiri, "Yeshua, Bani ... alisimama juu ya ngazi zilizojengwa kwa Walawi"

Yeshua, Bani, Kadmieli, Shebaniya, Buni, Sherebia, Bani na Kenani

majina ya wanaume