sw_tn/neh/09/01.md

701 B

Siku ishirini na nne ya mwezi huo huo

siku ya nne ya mwezi huo huo - "siku ya ishirini na nne ya mwezi wa saba' Hii iko karibu katikati ya Oktoba kwenye kalenda za Magharibi

watu wa Israeli walikusanyika

"'watu wa Israeli walikusanyika"

walikuwa wamevaa magunia, nao wakaweka vumbi juu ya vichwa vyao

Ilikuwa ili kuonyesha jinsi walivyokuwa na huruma kwa mambo mabaya wao na baba zao waliyofanya.

Wazao wa Israeli

Waisraeli

walijitenga na wageni wote

"hakuwa na kitu chochote cha kufanya na wale ambao hawakuwa Waisraeli"

Walisimama na kukiri dhambi zao wenyewe na matendo maovu ya baba zao

"Walikubali mambo mabaya waliyoyafanya na pia mambo mabaya ambayo baba zao walifanya"