sw_tn/neh/09/01.md

24 lines
701 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Siku ishirini na nne ya mwezi huo huo
2021-09-10 19:21:44 +00:00
siku ya nne ya mwezi huo huo - "siku ya ishirini na nne ya mwezi wa saba' Hii iko karibu katikati ya Oktoba kwenye kalenda za Magharibi
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watu wa Israeli walikusanyika
"'watu wa Israeli walikusanyika"
# walikuwa wamevaa magunia, nao wakaweka vumbi juu ya vichwa vyao
Ilikuwa ili kuonyesha jinsi walivyokuwa na huruma kwa mambo mabaya wao na baba zao waliyofanya.
# Wazao wa Israeli
Waisraeli
# walijitenga na wageni wote
"hakuwa na kitu chochote cha kufanya na wale ambao hawakuwa Waisraeli"
# Walisimama na kukiri dhambi zao wenyewe na matendo maovu ya baba zao
"Walikubali mambo mabaya waliyoyafanya na pia mambo mabaya ambayo baba zao walifanya"