sw_tn/neh/03/31.md

28 lines
512 B
Markdown

# Baada yake
"Aliyefuata baada yake"
# Malkiya
Hlii ni jina la mtu.
# wafua dhahabu
Mfua dhahabu ni mtu anayefanya mapambo ya dhahabu na vitu vingine vya dhahabu.
# iliandaliwa kwa nyumba ... wafanyabiashara walijenga
Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "waliandaa ukuta kwa nyumba ... wafanyabiashara walijenga ukuta"
# wafanyabiashara
"wauzaji" au "wafanyabiashara"
# chumba cha juu cha pembeni
vyumba vya ngazi ya juu ambapo watu walikaa
# Lango la Kondoo
Hili ni jina la mlango wa ukuta.