# Baada yake "Aliyefuata baada yake" # Malkiya Hlii ni jina la mtu. # wafua dhahabu Mfua dhahabu ni mtu anayefanya mapambo ya dhahabu na vitu vingine vya dhahabu. # iliandaliwa kwa nyumba ... wafanyabiashara walijenga Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "waliandaa ukuta kwa nyumba ... wafanyabiashara walijenga ukuta" # wafanyabiashara "wauzaji" au "wafanyabiashara" # chumba cha juu cha pembeni vyumba vya ngazi ya juu ambapo watu walikaa # Lango la Kondoo Hili ni jina la mlango wa ukuta.