sw_tn/neh/03/31.md

512 B

Baada yake

"Aliyefuata baada yake"

Malkiya

Hlii ni jina la mtu.

wafua dhahabu

Mfua dhahabu ni mtu anayefanya mapambo ya dhahabu na vitu vingine vya dhahabu.

iliandaliwa kwa nyumba ... wafanyabiashara walijenga

Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "waliandaa ukuta kwa nyumba ... wafanyabiashara walijenga ukuta"

wafanyabiashara

"wauzaji" au "wafanyabiashara"

chumba cha juu cha pembeni

vyumba vya ngazi ya juu ambapo watu walikaa

Lango la Kondoo

Hili ni jina la mlango wa ukuta.