sw_tn/neh/03/25.md

912 B

Palali...Uzai.....Pedaya.....Paroshi

Haya ni majina ya watu

Uzai akajenga....Paroshi akajenga... watumwa wakajenga...wakajenga sehemu nyingine

Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "Uzai alijengaa ukuta ... Paroshi alijenga ukuta ... watumishi walijenga ukuta ... walijenga sehemu nyingine ya ukuta"

Baada yake

"Karibu naye"

mnara unaoenea juu

"mnara unaoinuka"

nyumba ya juu ya mfalme

"nyumba ya juu ya kiongozi wa Israeli"

uwanda wa walinzi

Hii ndio mahali ambapo walinzi walikaa

Ofeli

Hiii ni jina la mahali.

karibu na lango la maji

mbele ya lango la maji

mnara unaojitokeza ... mnara mkubwa unaojitokeza

"mnara mrefu ... mnara mrefu." Maneno "mnara unaojitokeza" inamaanisha mnara mrefu ambao unaruka kutoka kwenye ukuta. Inawezekana kwamba maneno haya yote yanataja mnara huo.

Watekoi

Hawa ni watu kutoka mji wa Tekoa. Tafsiri hii sawa na ulivyofanya katika 3:3.