# Palali...Uzai.....Pedaya.....Paroshi Haya ni majina ya watu # Uzai akajenga....Paroshi akajenga... watumwa wakajenga...wakajenga sehemu nyingine Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "Uzai alijengaa ukuta ... Paroshi alijenga ukuta ... watumishi walijenga ukuta ... walijenga sehemu nyingine ya ukuta" # Baada yake "Karibu naye" # mnara unaoenea juu "mnara unaoinuka" # nyumba ya juu ya mfalme "nyumba ya juu ya kiongozi wa Israeli" # uwanda wa walinzi Hii ndio mahali ambapo walinzi walikaa # Ofeli Hiii ni jina la mahali. # karibu na lango la maji mbele ya lango la maji # mnara unaojitokeza ... mnara mkubwa unaojitokeza "mnara mrefu ... mnara mrefu." Maneno "mnara unaojitokeza" inamaanisha mnara mrefu ambao unaruka kutoka kwenye ukuta. Inawezekana kwamba maneno haya yote yanataja mnara huo. # Watekoi Hawa ni watu kutoka mji wa Tekoa. Tafsiri hii sawa na ulivyofanya katika 3:3.