sw_tn/neh/03/25.md

40 lines
912 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Palali...Uzai.....Pedaya.....Paroshi
Haya ni majina ya watu
# Uzai akajenga....Paroshi akajenga... watumwa wakajenga...wakajenga sehemu nyingine
Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "Uzai alijengaa ukuta ... Paroshi alijenga ukuta ... watumishi walijenga ukuta ... walijenga sehemu nyingine ya ukuta"
# Baada yake
"Karibu naye"
# mnara unaoenea juu
"mnara unaoinuka"
# nyumba ya juu ya mfalme
"nyumba ya juu ya kiongozi wa Israeli"
# uwanda wa walinzi
Hii ndio mahali ambapo walinzi walikaa
# Ofeli
Hiii ni jina la mahali.
# karibu na lango la maji
mbele ya lango la maji
# mnara unaojitokeza ... mnara mkubwa unaojitokeza
"mnara mrefu ... mnara mrefu." Maneno "mnara unaojitokeza" inamaanisha mnara mrefu ambao unaruka kutoka kwenye ukuta. Inawezekana kwamba maneno haya yote yanataja mnara huo.
# Watekoi
Hawa ni watu kutoka mji wa Tekoa. Tafsiri hii sawa na ulivyofanya katika 3:3.