sw_tn/neh/03/22.md

16 lines
466 B
Markdown

# karibu na Yerusalemu, walijenga.....Benyamini na Hashubu walijenga.....Azaria alijenga.... alijenga
Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. "Kote Yerusalemu, kujenga ukuta ... Hashubu alijenga ukuta ... Azaria alijenga ukuta ... Binnui alijenga ukuta"
# Benyamini...Hashubu......Azaria....Maaseya....Anania.... Binui.....Henadadi
haya ni majina ya watu.
# kuielekea nyumba yao
"mbele ya nyumba yao"
# Baada yao.... Baada yake
"Karibu nao...... Karibu nae"