# karibu na Yerusalemu, walijenga.....Benyamini na Hashubu walijenga.....Azaria alijenga.... alijenga Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. "Kote Yerusalemu, kujenga ukuta ... Hashubu alijenga ukuta ... Azaria alijenga ukuta ... Binnui alijenga ukuta" # Benyamini...Hashubu......Azaria....Maaseya....Anania.... Binui.....Henadadi haya ni majina ya watu. # kuielekea nyumba yao "mbele ya nyumba yao" # Baada yao.... Baada yake "Karibu nao...... Karibu nae"