sw_tn/neh/03/22.md

466 B

karibu na Yerusalemu, walijenga.....Benyamini na Hashubu walijenga.....Azaria alijenga.... alijenga

Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. "Kote Yerusalemu, kujenga ukuta ... Hashubu alijenga ukuta ... Azaria alijenga ukuta ... Binnui alijenga ukuta"

Benyamini...Hashubu......Azaria....Maaseya....Anania.... Binui.....Henadadi

haya ni majina ya watu.

kuielekea nyumba yao

"mbele ya nyumba yao"

Baada yao.... Baada yake

"Karibu nao...... Karibu nae"