sw_tn/neh/03/01.md

20 lines
422 B
Markdown

# Kisha Eliashibu, kuhani mkuu, akasimama pamoja na ndugu zake makuhani
Kisha Eliashibu, kuhani mkuu, akaja pamoja na ndugu zake, makuhani
# Eliashibu....Zakuri mwana wa Imri
Haya nim majina ya watu.
# Mnara wa Mia
"Mnara wa 100"
# Mnara wa Hamea
Hili ndio jina la mnara. Inawezekana kuitwa jina la mtu aliyeitwa '"Hamea"
# watu wa Yeriko
Hii ina maana kwamba watu walikuwa kutoka Jeriko. AT "watu kutoka Jeriko"