sw_tn/neh/03/01.md

422 B

Kisha Eliashibu, kuhani mkuu, akasimama pamoja na ndugu zake makuhani

Kisha Eliashibu, kuhani mkuu, akaja pamoja na ndugu zake, makuhani

Eliashibu....Zakuri mwana wa Imri

Haya nim majina ya watu.

Mnara wa Mia

"Mnara wa 100"

Mnara wa Hamea

Hili ndio jina la mnara. Inawezekana kuitwa jina la mtu aliyeitwa '"Hamea"

watu wa Yeriko

Hii ina maana kwamba watu walikuwa kutoka Jeriko. AT "watu kutoka Jeriko"