# Kisha Eliashibu, kuhani mkuu, akasimama pamoja na ndugu zake makuhani Kisha Eliashibu, kuhani mkuu, akaja pamoja na ndugu zake, makuhani # Eliashibu....Zakuri mwana wa Imri Haya nim majina ya watu. # Mnara wa Mia "Mnara wa 100" # Mnara wa Hamea Hili ndio jina la mnara. Inawezekana kuitwa jina la mtu aliyeitwa '"Hamea" # watu wa Yeriko Hii ina maana kwamba watu walikuwa kutoka Jeriko. AT "watu kutoka Jeriko"