sw_tn/neh/02/07.md

16 lines
394 B
Markdown

# Naweza kupewa barua
Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "unaweza kutoa barua kwangu"
# Jimbo ng'ambo ya mto
Hii ndiyo jina la jimbo ambalo lilikuwa magharibi ya Mto Efrati. Ilikuwa ng'ambo ya mto kutoka mji wa Susa.
# Asafu
Hili ndio jina la mtu.
# mkono mzuri wa Mungu ulikuwa juu yangu
"Mkono mzuri" wa Mungu unawakilisha "neema yake." AT "neema ya Mungu ilikuwa juu yangu"