sw_tn/neh/02/07.md

394 B

Naweza kupewa barua

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "unaweza kutoa barua kwangu"

Jimbo ng'ambo ya mto

Hii ndiyo jina la jimbo ambalo lilikuwa magharibi ya Mto Efrati. Ilikuwa ng'ambo ya mto kutoka mji wa Susa.

Asafu

Hili ndio jina la mtu.

mkono mzuri wa Mungu ulikuwa juu yangu

"Mkono mzuri" wa Mungu unawakilisha "neema yake." AT "neema ya Mungu ilikuwa juu yangu"