# Naweza kupewa barua Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "unaweza kutoa barua kwangu" # Jimbo ng'ambo ya mto Hii ndiyo jina la jimbo ambalo lilikuwa magharibi ya Mto Efrati. Ilikuwa ng'ambo ya mto kutoka mji wa Susa. # Asafu Hili ndio jina la mtu. # mkono mzuri wa Mungu ulikuwa juu yangu "Mkono mzuri" wa Mungu unawakilisha "neema yake." AT "neema ya Mungu ilikuwa juu yangu"