sw_tn/mrk/14/55.md

20 lines
740 B
Markdown

# Sasa
Hili neno limetumika kuweka alama kwa badiliko katika hadithi kama mwandishi anavyoendelea kutuambia kuhusu Yesu kuwekwa kwenye majaribio.
# wapate kumwua
Hapakuwa wenyewe ambao wangemwadhibu kifo Yesu; badala yake, wangemuomba mwingine kufanya . "wangemwadhibu kifo Yesu" au "wangeweza kupata mwingine kumwadhibu kifo Yesu"
# Lakini hawakuupata
Hawakupata ushuhuda kinyume dhidi ya Yesu ambao wangemtia hatiani na kumwua.
# walileta ushuhuda wa uongo dhidi yake
Hapa anaongea ushuhuda wa uongo unoelezwa kama ilikuwa kama kitu halisi ambacho mtu anaweza kubeba. "Mshitaki kwa kusema ushuhuda wa uongo dhidi yake"
# hata ushahidi wao haukufanana
Hii inaweza kuandikwa kwa mtindo wa chanya. "lakini ushuhuda wao haukufanana"