sw_tn/mrk/14/37.md

20 lines
351 B
Markdown

# akawakuta wamelala
"na akamkuta Petro, Yakobo, na Yohana wamelala"
# Simoni, je umelala
"Simoni, umelala wakati nilipokuambia kukesha."
# Hukuweza kukesha... saa?
"Ungeweza hata kukesha."
# Roho inataka kabisa, lakini mwili ni dhaifu.
"Miili yenu haiwezi kufanya kile ambacho akili zenu zinataka ninyi kufanya."
# mwili
"mwili unaoonekana"