# akawakuta wamelala "na akamkuta Petro, Yakobo, na Yohana wamelala" # Simoni, je umelala "Simoni, umelala wakati nilipokuambia kukesha." # Hukuweza kukesha... saa? "Ungeweza hata kukesha." # Roho inataka kabisa, lakini mwili ni dhaifu. "Miili yenu haiwezi kufanya kile ambacho akili zenu zinataka ninyi kufanya." # mwili "mwili unaoonekana"