sw_tn/mrk/10/15.md

20 lines
404 B
Markdown

# yeyote
"kama yeyote"
# kama mtoto mdogo
Yesu analinganisha namna gani watu wanapaswa kuupokea ufalme wa Mungu na namna watoto wanavyoweza kuupokea. "katika tabia hiyo kama mtoto angefanya"
# asiyeupokea ufalme wa Mungu
"hawataweza kumpokea Mungu kama mfalme wao"
# hakika hawezi kuuingia
Neno "kuui" urejea kwa ufalme wa Mungu.
# Kisha akawachukua watoto mikononi mwake
"aliwakumbatia watoto"