# yeyote "kama yeyote" # kama mtoto mdogo Yesu analinganisha namna gani watu wanapaswa kuupokea ufalme wa Mungu na namna watoto wanavyoweza kuupokea. "katika tabia hiyo kama mtoto angefanya" # asiyeupokea ufalme wa Mungu "hawataweza kumpokea Mungu kama mfalme wao" # hakika hawezi kuuingia Neno "kuui" urejea kwa ufalme wa Mungu. # Kisha akawachukua watoto mikononi mwake "aliwakumbatia watoto"