sw_tn/mrk/09/04.md

28 lines
615 B
Markdown

# Eliya na Musa
Inaweza kuwa msaada kusema hawa wanaume ni "manabii wawili walio ishi muda kitambo, Musa na Eliya."
# walikuwa wakiongea
Neno "wa" urejea kwa Eliya na Musa
# Petro alimjibu na kumwambia Yesu
"Petro alimwambia Yesu." Hapa neno "alimjibu" linatumiwa kumtambulisha Petro katika mazungumzo. Petro alikuwa hajibu swali.
# sisi
Hili neno urejea kwa Petro, Yakobo, na Yohana
# vibanda
"mahema" Hii urejea kwa makao rahisi ya muda.
# Kwa kuwa hakujua nini cha kusema, waliogopa sana
Sentensi hii iliyo kwenye mabano usema maelezo ya nyuma kuhusu Petro, Yakobo, na Yohana.
# ogopa
kuogopa sana