# Eliya na Musa Inaweza kuwa msaada kusema hawa wanaume ni "manabii wawili walio ishi muda kitambo, Musa na Eliya." # walikuwa wakiongea Neno "wa" urejea kwa Eliya na Musa # Petro alimjibu na kumwambia Yesu "Petro alimwambia Yesu." Hapa neno "alimjibu" linatumiwa kumtambulisha Petro katika mazungumzo. Petro alikuwa hajibu swali. # sisi Hili neno urejea kwa Petro, Yakobo, na Yohana # vibanda "mahema" Hii urejea kwa makao rahisi ya muda. # Kwa kuwa hakujua nini cha kusema, waliogopa sana Sentensi hii iliyo kwenye mabano usema maelezo ya nyuma kuhusu Petro, Yakobo, na Yohana. # ogopa kuogopa sana