sw_tn/mrk/06/10.md

12 lines
350 B
Markdown

# akawaambia
"Yesu akawaambia kumi na wawili"
# kaeni hapo mpaka mtakapoondoka
"kaeni katika nyumba ile mpaka mtakapoondoka katika mji ule."
# kama ushuhuda kwao
"kama ushuhuda kinyume nao." Inaweza kuwa msaada kueleza namna hili tendo lilikuwa ushuhuda kwao. "kama ushuhuda kwao. Kwa kufanya hivyo, utaweza kushuhudiwa kuwa hawakuwakaribisha"