# akawaambia "Yesu akawaambia kumi na wawili" # kaeni hapo mpaka mtakapoondoka "kaeni katika nyumba ile mpaka mtakapoondoka katika mji ule." # kama ushuhuda kwao "kama ushuhuda kinyume nao." Inaweza kuwa msaada kueleza namna hili tendo lilikuwa ushuhuda kwao. "kama ushuhuda kwao. Kwa kufanya hivyo, utaweza kushuhudiwa kuwa hawakuwakaribisha"