sw_tn/mrk/04/13.md

32 lines
969 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaelezea mfano wa udongo kwa wafuasi wake na kisha anawambia kuhusiana na taa kuonyesha vitu vilivyo jificha vitajulikana.
# Na akasema kwao
"Na Yesu akasema na wanafunzi wake"
# Je hamuelewi mfano huu? Mtawezaje kuelewa mifano mingine ?
Yesu alitumia maswali haya kuonyesha jinsi alivyokuwa na huzuni kwamba wanafunzi wake hawakuweza kuelewa mfano wake. "kama hautaweza kuelewa mfano huu, fikiri jinsi ilivyo ngumu kwa wewe kuelewa mifano mingine"
# Mkulima anayepanda mbegu zake
"Mkulima anayepanda mbegu zake huwakilisha"
# kwa yule anayepanda neno
"Neno" huwakilisha ujumbe wa Mungu. Kupanda ujumbe huwakilisha kufundisha. "yule anayefundisha watu ujumbe wa Mungu"
# Baadhi huanguka kandokando mwa njia
"Baadhi ya watu ni kama mbegu huanguka kandokando mwa njia" au "Baadhi ya watu ni kama njia ya miguu ambapo mbegu huangukia"
# njia
"njia ya miguu"
# wanapoisikia
Hapa wanapo-"i" sikia urejea "neno" au "ujumbe wa Mungu"