sw_tn/mrk/03/17.md

16 lines
444 B
Markdown

# kwa wale aliowapa
Kikundi cha maneno "kwa wale" urejea kwa wote Yakobo mwana wa Zebedayo na ndugu yake Yohana.
# jina la Bonagesi, hao ni, wana wa ngurumo
"Jina Bonagesi, ambalo lina maanisha wana wa ngurumo" Maana ya jina "Bonagesi" inaweza kuwa dhabiti zaidi. "jina jipya 'wanaume wanaofananishwa kama ngurumo"
# Thadayo
Hili ni jina la mwanaume
# ambaye atamsaliti
"ambaye atamsaliti Yesu" Neno "ambaye" urejea kwa Yuda Iskariote.