# kwa wale aliowapa Kikundi cha maneno "kwa wale" urejea kwa wote Yakobo mwana wa Zebedayo na ndugu yake Yohana. # jina la Bonagesi, hao ni, wana wa ngurumo "Jina Bonagesi, ambalo lina maanisha wana wa ngurumo" Maana ya jina "Bonagesi" inaweza kuwa dhabiti zaidi. "jina jipya 'wanaume wanaofananishwa kama ngurumo" # Thadayo Hili ni jina la mwanaume # ambaye atamsaliti "ambaye atamsaliti Yesu" Neno "ambaye" urejea kwa Yuda Iskariote.