sw_tn/mrk/01/23.md

16 lines
497 B
Markdown

# Tuna nini cha kufanya na wewe, Yesu wa Nazareti?
Mapepo wanauliza swali wakimaanisha kuwa hakuna sababu ya Yesu kuwaingilia na wanatamani yeye aondoke. " Yesu wa Nazareti, tuache sisi peke yetu! Hakuna sababu ya wewe kutuingilia sisi."
# Je! Umekuja kutuangamiza sisi?
Mapepo wanauliza swali kumsihi Yesu asiwadhuru. "Usi tuharibu sisi!"
# alimtupa yeye chini
Hapa neno "yeye" lina rejea kwa mtu aliye pagawa na mapepo.
# wakati analia kwa sauti kubwa
Pepo ndiye anayelia, wala siyo mtu.