sw_tn/mic/07/03.md

20 lines
572 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Mika anaendelea kuongea kuhusu watu wa Israeli.
# Mikono yao ni mizuri mno
"Watu ni wazuri sana"
# Mtu bora kwao ni kama mitemba, mwadilifu sana ni kama miche ya miba
Hii inamaanisha kwamba hata kiongozi mzuri katika Israeli amesababisha maumivu na walikuwa hawafai kitu
# Imefika siku iliyosemwa nyuma na walinzi, siku ya adhabu
Hapa "yako" bado inawarejea watu wa Israeli. "Manabii wao wamewaambia kwamba Yahwe angewaadhibu"
# Sasa ni muda wa machafuko yao
Hii inaweza kurejea kushinda vita. "Sasa iko hapa, na hawataelewa nini kinaendelea"