# Maelezo ya Jumla: Mika anaendelea kuongea kuhusu watu wa Israeli. # Mikono yao ni mizuri mno "Watu ni wazuri sana" # Mtu bora kwao ni kama mitemba, mwadilifu sana ni kama miche ya miba Hii inamaanisha kwamba hata kiongozi mzuri katika Israeli amesababisha maumivu na walikuwa hawafai kitu # Imefika siku iliyosemwa nyuma na walinzi, siku ya adhabu Hapa "yako" bado inawarejea watu wa Israeli. "Manabii wao wamewaambia kwamba Yahwe angewaadhibu" # Sasa ni muda wa machafuko yao Hii inaweza kurejea kushinda vita. "Sasa iko hapa, na hawataelewa nini kinaendelea"