sw_tn/mic/01/11.md

32 lines
763 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Kwa kuwa maana za vijiji na miji, unaweza kutaka kuingiza hiyo habari katika rejea.
# Shafiri
Jina la huu mji linatamkika kama maana moja "uzuri." Lipo kinyume na "Utupu na aibu."
# katika uchi na aibu
Adui wa majeshi mara nyingi waliwafanya wafungwa wao kutembea uchi kabisa. Na kulikuwa na aibu katika kuanza kuwashinda watu.
# Zaanani
Jina la huu mji linamaanisha "kutoka nje." Wanaogopa kutoka nje na kusaidia.
# Beth Ezeli
Jina la huu linamaanisha "nyumba ya kuchukuliwa."
# kwa kuwa ulinzi wao umechukuliwa
"kwa kuwa nimechukua kila kitu ambacho kingeweza kuwalinda"
# Marothi
Jina la huu mji linamaanisha "uchungu."
# kwa sababu janga umetoka kwa Yahwe
"Janga" ni neno la msingi katika Mika ambalo litakalojitokeza tena.