# Maelezo ya Jumla: Kwa kuwa maana za vijiji na miji, unaweza kutaka kuingiza hiyo habari katika rejea. # Shafiri Jina la huu mji linatamkika kama maana moja "uzuri." Lipo kinyume na "Utupu na aibu." # katika uchi na aibu Adui wa majeshi mara nyingi waliwafanya wafungwa wao kutembea uchi kabisa. Na kulikuwa na aibu katika kuanza kuwashinda watu. # Zaanani Jina la huu mji linamaanisha "kutoka nje." Wanaogopa kutoka nje na kusaidia. # Beth Ezeli Jina la huu linamaanisha "nyumba ya kuchukuliwa." # kwa kuwa ulinzi wao umechukuliwa "kwa kuwa nimechukua kila kitu ambacho kingeweza kuwalinda" # Marothi Jina la huu mji linamaanisha "uchungu." # kwa sababu janga umetoka kwa Yahwe "Janga" ni neno la msingi katika Mika ambalo litakalojitokeza tena.